Tazama watoto waliotikisa mioyo ya waumini katika tukio la kusimikwa Askofu Kyando jimboni Njombe..

First published at 01:39 UTC on January 21st, 2024.
subscribers

Watoto Maureen na mwenzie walipokonga nyoyo za waumini wakati wa tukio la kuwekwa wakfu na kusimikwa askofu Eusebio Samwel Kyando wa jimbo la Njombe hapo tarehe 14 Januari 2024, walipoimbisha wimbo uitwao "Ndipo niliposema tazama nimekuja"…

MORE
CategoryMusic
SensitivityNormal - Content that is suitable for ages 16 and over
DISCUSS THIS VIDEO