Hakuna mwema wala mbaya kwa kila mtu, usilalamike, songa mbele - Nasaha za Padre Prosper Kessy.

First published at 23:30 UTC on March 2nd, 2024.
subscribers

Huu ni mfululizo wa Nasaha na mafundisho yatolewayo na padre wa kanisa Katoliki Padre Prosper Kessy katika mfululizo wa mafundisho yake, kupitia mafundisho yake haya utajifunza mengi katika maisha ya kila siku.

CategoryMusic
SensitivityNormal - Content that is suitable for ages 16 and over
DISCUSS THIS VIDEO