Kukiri makosa yako ni kujisamehe, kujipa amani na kuanza maisha mapya-Nasaha za padre Prosper Kess..

First published at 01:42 UTC on January 20th, 2024.
subscribers

Huu ni mfululizo wa Nasaha na mafundisho yatolewayo na padre wa kanisa Katoliki Padre Prosper Kessy katika mfululizo wa mafundisho yake, kupitia mafundisho yake haya utajifunza mengi katika maisha ya kila siku.

CategoryMusic
SensitivityNormal - Content that is suitable for ages 16 and over
DISCUSS THIS VIDEO